1. Kujiamini
Hii ndi sababu kubwa ya kwanza aliyoitaja jokate. Ansema hamna kitu kinachowavutia watu, hasa wananume kama kujiamini. Mwanaume anapenda msichana anayejiamini. Zaidi ya yote hamna kitu kinachosema kuwa “I’m sexy” Zaidi ya mwanamke anayejiamini
2. Kujitegemea
Hii ni kama sababu ya kwanza hapo juu, Jokate anasema hamna kitu kinachowaboa wanaume kama mwanamke ambaye anapenda vitu vya kupewa. Ukimuonesha mwanaume wewe unapenda kutafuta vya kwako basi jua atakupenda sana
3. Kupendeza
Jokate anasema ni muhimu kwa wadada kuvaa nguo nzuri ambazo zitakupendeza kulingana na mwili wako hasa hasa nguo zenye rangi ya kuonekana.
4. Tabasamu
Tabasamu kila saa kwani tabasamu linakufanya unaonekana mzuri Zaidi.
Wachunguzi wa mambo wamesema kuwa sababu hizi ndio pia zilichangia Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Diamond platnumz kumpenda mwanadada huyu kwani sifa hizi hazipo kwa wadada wengi wa mjini
10 comments:
Huyu dada mvuto zirooo uzuri hamna sielewi hao wanaume wanavutiwa na nini haswa!
Wewe mdau hapo juu unajua kusoma, una uelewa kweliiii uzur wake hata Kama sio wa sura wala umbo wala mvuto wowote but ameelezea mambo yanayomfanya mwanamke awe mzuri na yeye anayo yote, kikubwa sio tegemezi kwa mwanaume, period.
jamani! me nilidhani ni peke yangu namuona huyu dada hana mvuto! pia anasema tabasamu, mbona huwa tabasamu lake halionekani! namuona kanuna muda wote!
Hivi wakiitwa wazuri, Jokate naye atatoka...?
Hivi wakiitwa wazuri, Jokate naye atatoka..?
mdau wa mwanzo hujui wanaume wanavutiwa na nini jamani jamani kwa nini umesema hivyo bila kufikiria kwani siku zote wanaume wanavutiwa na nini kwa demu hebu fikiria na maisha ya siku hizi kama demu anajitumia basi brother man unatulia tuli na kula matunda na jasho la demu wako siku hizi watu wanatafuta mademu wenye kazi na pia kama kwao wana uwezo ile bro ujiachiye kichizi hata kama si mzuri halafu ile asali si unajua jamani hata kama mtu si mzuri asali si ipo au nayo inakuwa sumu? hebu jiulize
na kuroga kupo pia demu kama si mzuri anaroga kuleta mvuto upo bro amini usiamini kalaga bao shauri yako fanya uchunguzi utaona ma sharo baro kwa nini wanapanga mtari kwa demu asiye na mvuto
na please demu huyu anamvuto sema hujampata ndo maana labda kakukatalia nimeona kuna mademu wabaya kuliko huyu so wacha zako kama umekataliwa usiwe na chuki kuna demu atakaye kufaa baadaye songa mbele piga moyo konde alright bro nakutakia peace and love kichaa wangu
Ni mzuri na pia kweli sababu alizotoa ndizo zinazo wavutia wanaume wengi
Nakubaliana na yeye Mia ya Mia katika vipengele hivyoooooo vinne alivyovitajaaaaa! Ila na yeye atelier sasa anahangaika sanaaa na pia akae mbaali na wapenzi wawatu, mwanamke inapendeza ukiwa na Mpenzi wako peekeee na inapendeza kuwa na Mpenzi mmoja tu! Ila huyu dada na mkubali sana sana sana anajiamini sana.
Nakuunga mkono mdau wa Aug22 9:28am. Pamoja na yeye Kidoti kujiona demu disent kwanini anatabia ya kutembea na mabwana wa mashoga zake? hakumuibia Wema Peke yake!
acheni kupoteza muda wenu kuandika mambo ya kuponda mwenzenu kwani ndo nyinyi mlio muumba?jaribuni kuumba wa kwenu basi hata sisi mizi hamuwezi kumuumba leo hii mmekuja hapa mitanaoni na akili zenu na kumponda mtoto wa mwana wa mwenzenu yote ni wivu, yes ni wivu na tena mmekataliwa nahisi hivyo na pia mnatamani mngekuwa katika nafasi aliyo yeye.
wazuri wangapi wako na wanadoda mitaani wacheni hizo na cha pili ni kwamba naungana na mdau wa 8.20 at august 22 amesema kweli kabisa wanaume wengi wako hivyo wanapenda demu anayejituma na kula jasho lake.
mtoto wa watu mzuri mnaponda bure acheni hivyo kuweni wastaarabu mtafuteni kwa wakati wake laabda aataweza kukuoneeni huruma na kukukubalini
cha pili ni kwamba wema sepetu na yeye si anawaibiwa watu wanaume zao so cha aajabu nini na dunia ya leo h akuna cha chako peke yako akiwa ndani mwako na kwenye kitandani usiku ndo wako akitoka kwenda kazini na mizunguko minginewe si wako mjijuwe wapendanao na ukiwa na wivu sana utakufa bure kifo cha kihorooo tena kifo kibaya sana hichi
so penda lakini usiwe kipofu ukiawa mtekwa upende na kujijua anayekupenda naya anakupenda au wewe tuu na kuibiana kupo hakuna cha peke yako siku hizi katika dunia hiii
alam sik
Post a Comment