Kamanda Ras Makunja akiwa mbele ya makazi ya bundi wake udi udi
Bundi Udi Udi wa Kamanda Ras Makunja akifurahia makazi yake.
Baada ya kujichukulia tuzo ya kimataifa ya
bendi bora ya kiafrika barani ulaya,mkuu wa kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU kamanda
Ras Makunja alikutwa akicheza na bundi wake katika maskani yake "Anunnaki Empire" alipoulizwa
kulikoni awapende bundi hao ! kwanini asifuge ndege kama kasuku ? Kamanda Ras Makunja alijibu heti "Bundi wake" hawana ukorofi na mtu
ni ndege wenye upendo tuu tena watulivu kuliko Kasuku,Kamanda Ras makunja amedai kasuku wana kelele sana..lakini Bundi wakimya na wapole.
Alipoendelea kuhojiwa akahamua kuuchuna.
2 comments:
Kamanda Ras Makunja mkuu wa viumbe wa ajabu FFU aka Ngoma Africa band,hili jipya
Kaka Makunja bundi wana uchuro midege hiyo ya nini?
Post a Comment