ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 27, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

9 comments:

Anonymous said...

David u got point man..Peace //pachaz

Anonymous said...

That guy who wears green jacket, I advise you to go college. You don't have a point at all, and you look like you don't understand the issues of union.

Anonymous said...

Wazanzibar wana nini kwani!!!!.Hapa Sweden yani wapo wapo tu....naubaguzi wahoo.Mwisho wasiku wanakuja kwa wa Bongo....achezi ubaguzi.bana.

Anonymous said...

Jamaa alie vaa kapelo anaongea point sana...dizaini dogo anajua alichokifuata U.S.A. ELIMU...SAFI sana...i like him so much.

Anonymous said...

Jamaa, tuache au tupunguze utumiaji wa lugha ya kiingereza katika kipindi cha Kijiweni. Wengi wanaoshiriki ni wajuzi wa kiswahili baasi tu, Watanzania tuna tabia ya kukienzi kiingereza wakati tunapozungumza lugha yetu ya Kiswahili. Ni aibu.

Anonymous said...

Nd. David umekaa kama mlevi lakini ni GENIUS. Pia ni mzalendo haswa. Mimi nitakutafuta tufanye kazi pamoja kusaidia ndugu zetu Tanzania.

Anonymous said...

Bwana Kinyemi unajua kwamba kulikuwa na tume ya kupambana na rushwa ambaye kiongozo wake alikuwa ni ( ) na sasa ni ( ).

Anonymous said...

Wewe mdau uliyecomment kuhusu aliyevaa green you really need to go to school first Kiingereza chako ni broken vibaya sana halafu unasema wenzako hawana point jiangalie kwanza kabl;a ya kukosoa wenzako.Nawapongeza wote waliochangia hiki kijiwe.

IM said...

David aminia wangu bila kuwaelimisha watu hatutafika popote.Huu ndio ujanja wa serikali nyingi.Wengi tunahitaji mwamsho serikari haiko kuamsha watu