ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 26, 2013

Mjue Mpiganaji Chipukizi Salehe Ngayonga anayefuata nyao za wapiganaji wakongwe Bongo!

Saleh Ngayonga
Tanzania ina utajiri wa vijana waliojawa na vipaji, Mmojawao ni kijana Salahe Ngayonga (pichani)
ambaye shughuli zake anafanyia kati ya Dar-es-salaam na Wilayani ya Rufiji,maeneo ya Kibiti,mkoa wa Pwani.

Mpiganaji huyo chipukizi Salehe Ngayonga ni vijana wacheche waliochipukia katika fani
au upigaji picha na video akiwa na vitendea  kazi vyake Salehe Ngayonga mara nyingi
anatokea katika matukio mbali mbali ya kijamii kama vile sherehe za harusi,ngoma n.k
Salehe Ngayonga amekuwa mfano wa kuigwa kwa baadhi vijana kwa kuwa mstari wa mbele
kwa kukiendeleza kipaji chake. Unaweza kuwasiliana nae kwa simu 0782249496
au 0719564669 at www.facebook.com/salehengayonga

No comments: