ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 7, 2013

MOTO WATHIBITIWA, ABIRIA WAWEKWA HOTELINI, SASA NDEGE ZOTE KUTUMIA UWANJA WA MOI

Habari zinasema kwamba baada ya saa tatu za ku pambana na janga hilo, hatimaye moto huo umeweza kudhibitiwa na hakuna mtu aliyeripotiwa kudhurika.

Abiria waliokuwa wanasafiri wamepelekwa mahotelini na ndege zilizokuwa zitue JKIA zimeelekezwa kutua uwanja wa kimataifa wa Moi, Mombasa

No comments: