
,King+of+Anunnaki+empire.jpg)
Hilikuwa majira ya saa 11.00 alfajiri kwa saa za afrika mashariki,
Mtangazaji wa Radio VOA-Kiswahili,mpiganaji Sunday Shomari
alisikika akimuhoji Kiongozi wa Ngoma Africa band a.k.a FFU
ughaibuni almaarufu "Watoto wa Mbwa" mwanamuziki Ebrahim
Makunja aka Kamanda Ras Makunja mwenye makao kule
Ujerumani. Katika mahijiano hayo mpiganaji Sunday Shomari
alikuwa anataka kujua nini haswa siri ya mafanikio ya Ngoma Africa band,
na kwanini ? bendi hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwateka washabiki
wa kimataifa kwa kutumia muziki wa dansi.
Kamanda Ras Makunja anakumbana na maswali ya asubuhi ! Asubuhi !
tena kawekwa mtu kati na Sunday Shomari ! msikilize at
3 comments:
Sunday Shomari Big Up,mahojiano nimeyapenda sana naona kamanda ras makunja anaonekana ni mtaalam katika kazi yake,
hiiii!!! kamanda mkuu wa kikosi maalumu FFU ughaibuni ktk mahojiano makali,kamanda ras makunja akiongea anaelekea mtu aliye elimika na kuelevuka,pia wapinzani wake kimuziki anajua wapi pa kuwamilizia
Baba mtukutu kamanda Ras Makunja uliyeipindia akili kazi yako,nimekusikiliza na kukubali ushauri wako
Post a Comment