ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 15, 2013

MWIMBAJI ERICA L. AISHIE CALIFORNIA - MAREKANI AKIWA NA "PRODUCER" WAKE ANDRE MANGA

ERICA (L) AKIWA  KATIKA MAANDALIZI YA AWALI YA ALBUM YAKE  INAYOTARAJIWA KUKAMILIKA DESEMBA MWAKA HUU. MOJA WAPO YA NYIMBO ATAKAYOTOA KWANZA NI NYIMBO ATAKAYO MUENZI DADA YAKE MPENZI 
JANE LULAKWA IITWAYO PAMOJA TENA.

No comments: