Advertisements

Wednesday, August 28, 2013

NGUVU YA TENDO LA NDOA ASILIA

Picha ya korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa.

Korodani za kuku ni dawa nzuri sana ya nguvu za kiume, na imekuwa ikitumiwa na mababu zetu tangu enzi na enzi, vijana wa siku hizi hawajui ukweli huu kwa sababu wana kasumba ya kudharau vitu vya asili.

MATAYARISHO:
1. Tafuta JOGOO WA KIENYEJI ALIYEKOMAA ..Nimeweka msisitizo hapo kwenye neno " Jogoo Wa Kienyeji Aliyekomaa " kwa sababu najua kuna watu wanaweza kuchukua kuku wa kizungu, ama jogoo ambaye hajakomaa. Kamwe usifanye kosa hilo na usithubutu kabisa kutumia korodani za kuku wa kizungu. Kama haujui jogoo aliyekomaa ni yupi, uendapo kwa muuzaji wa mwambie akusaidie kupata jogoo aliyekomaa.

2. Unga wa HABBAT SAWDA au Unga wa MJAFARI robo kilo.
3. Andaa kisaani ambacho utakitumia kuweka korodani zako baada ya kumchinja kuku.NAMNA YA KUFANYA :
1. Mchinje jogoo wako kisha mpasue kwa ajili ya kutoa korodani zake. Unapozitoa korodani za jogoo wako hakikisha unafanya bila korodani zako kupaa damu ila kama ikitokea bahati mbaya korodani zako zikigusana na damu, unaweza kuzisafisha lakini inashauriwa zaidi uzitoe
korodani zako bila korodani hizo kugusana na damu. Kuna namna ambayo ukifanya, korodani haziwezi kugusana na damu wakati unazi toa. ( N.B: Korodani za jogoo unapozitoa, huwa kama mayai na haziwi na damu damu kama unavyo weza kudhania )

2. Chukua unga wa HABBAT SAWDA ( Tamka HABAT SODA ) au unga wa MJARIFU kiasi cha robo kiganja na kuutia kwenye kisahani
chako.

3. Baada ya kuzinyofoa korodani hizo za kuku, ziweke juu ya kisahani chako ambacho juu yake umeweka unga wa HABBAT SAWDA ama unga wa MJARIFU na kufanya kama unazi biringisha biringisha hivi ili kuzichanganya.

4. Chukua korodani zako zote mbili, moja baada ya nyingine weka kinywani, meza na maji kama vile unavyo meza dawa. Hapo zoezi lako litakuwa limekamilika.
Hautakiwi kumeza zaidi ya korodani mbli, korodani mbili tu zinatosha sana, ila kama utataka kuwa na nguvu mara dufu unaweza kuwa unafanya zoezi hili kila mwezi, mra moja kwa wiki, mara mbili kwa wiki ama kila siku, kwa kadri unavyo jiweza .Endapo utafanya zoezi hili mara kwa mara basi nguvu zako zitakuwa sio za kawaida.

KAZI YA KORODANI ZA KUKU: Zitakufanya uwe na nguvu za ajabu na wala usichoke kufanya tendo la ndoa, unaweza kufanya tendo la ndoa hata mara nne, bila ya kuchoka na utakuwa unajisikia upo ngangari muda wote, sana sana labda ukose pumzi ama uchoke kiuno, but nguvu za kiume, utakuwa safi sana..

SUPU YA KORODANI ZA MBUZI :
Korodani za mbuzi zinapatikana maeneo kama vile machinjioni n.k na zinapztikana kwa bei nafuu sana. Chukua korodani zako za mbuzi, zitumie kutengeneza supu kishs kunywa supu yako pamoja na korodani hizo za mbuzi ambazo zinakuwa zimekwisha wiva. Ukifanya hivi angalau mara moja kwa wiki kwa muda wa mwezi mmoja, amini ninacho kwambia, utakuwa vizuri sana. Kama hauna nafasi au muda wa kutengeneza supu unawezan kwenda katika maeneo ambayo wanatengeneza supu ama wanauza mbuzi choma na kuweka oda wakutengenezee supu ya korodani za mbuzi. ..Mgahawa wa wazi uliopo katika eneo la Sinza Afrika, sana ni maarufu kwa kutengeneza supu ya korodani za mbuzi, unaweza kutafuta muda ukaenda hapo kwa ajili ya kujipatia supu ya korodani za mbuzi ambayo hujulikana zaidi kama "ASHUSHI "

DAWA YA ASILI IITWAYO " JIKO " :
Dawa hii imebatizwa jina la "Jiko " kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuwasaidia wanaume kuyalinda majiko yao. Ni dawa safi sana na yenye nguvu za ajabu. Ni dozi ya siku kumi na mbili tu ambayo inaanza kuonyesha matokeo baada ya wiki mbili. Dawa hii inafanya mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuimarisha mishipa ya uume uliolegea ama uume ulioingia ndani, inaongeza hamu ya tendo la ndoa maradufu, inakufanya uweze krudia tendo mara nne bila ya kuchoka (labda uchoke kiuno au pumzi), na inakupa uwezo wa kukaa juu ya kiuno kwa muda mrefu .

Endapo utatumia vitu vyote vitatu, kama vilivyo orodheshwa hapo juu, yaani korodani za kuku, supu ya korodani za mbuzi pamoja na "Jiko" au "Nguvu Kazi" kwa jina lingine. Kuwa na uhakika kwamba tatizo lako la upungufu ama ukosefu wa nguvu za kiume, litakuwa limekwisha kabisa ndani ya mwezi mmoja wa kutumia dozi yako.

N.B: Dawa hii ni kwa ajili ya watu waliopungukiwa ama kuishiwa nguvu za kiume ambao wamewahi kuwa na nguvu za kiume, dawa hii haiwezi kumsaidia mtu ambaye amezaliwa akiwa hana nguvu za kiume.(Hanithi). Zipo tiba za asili kwa ajili ya watu hao.
Kazi kwako msomaji kitu organic hicho ....

4 comments:

Anonymous said...

korondani ndo nini tena hebu tufafanuliyeni kiswahili siku hizi kigumu

Anonymous said...

mayai mawili katika sehemu ya siri ya kiume mdau!!!!

Anonymous said...

ahsante sana mdau wa 1;35 kwa kunifahamisha mwenzio nilikuwa sijui sasa nimeshaelimika na kuja nini maana ya korondani ahsante sana mungu akubariki daima milele amen. namefarijika sana kwa ufafanuzi wako na watu kama wewe ndo tunaowahitaji katika blog hii wanaojua utu na ungwana wa kufahamisha wenzao sio walio kalia kashfa na majisifu kila pembe ya dunia hii mungu akubariki sana mkuu ahsante sana mdau mwenzangu

Anonymous said...

Jiko ndiyo dawa gani ya asili?