ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 21, 2013

NYOTA MAN UNITED WAPIGA PAMBA, WABEBA WAKE NA MAHAWARA ZAO KWA MTOKO WA CHAKULA CHA USIKU NA KUCHA WAO



Mtoko na mama watoto: Rooney akiwasili na mkewe Coleen (kushoto), wakati Moyes akionekana poa baada ya ushindi wa pili kazini


Katikati ya mji: Johnny Evans akiwasili na mkewe Helen McConnell (kushoto), wakati Nemanja Vidic akitembea na mkewe, Ana Ivanovic huko Deansgate, Manchester
Nafasi ya picha;Rio Ferdinand akipiga picha na shabiki huko Deansgate, Manchester



Beki Chris Smalling (kushoto) akiwasili na mpenzi wake, na kiungo Tom Cleverley (kulia) na hawara yake, Georgina Dorsett 



Kila mtu na wake: Robin na Bouchra van Persie (kushoto) akiwasili na kulia ni Ryan na Stacey Giggs



Masela: Danny Welbeck, Wilfried Zaha, David De Gea na Antonio Valencia wakitembea
Miamba: Alexander Buttner, Rio Ferdiand na Shinji Kagawa wakiwasili kwa chakula cha timu mjini Manchester


Kwa raha zao: Ashley Young (kushoto) na Phil Jones (kulia)

1 comment:

Anonymous said...

Hayaaaaaa kumekuchaaaa na Nyie wanawake wa kitanzania na wanaume wa kitanzania mjifunze kutoka na wake zenu na wanaume zenu tena muwashikilie Kama dhahabu....LOL!