ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 19, 2013

PATA TASWIRA YA PICHA ZA GRADUATION YA DR, TEMBA NEW YORK WATU WALIKULA BATA HADI MAJOGOO

Hapa Dr. Temba akitoa maelezo kwa Mh. Balozi Manongi  faida  ya kuwa na jiko hili  alilodesign yeye mwenyewe Dr, Temba. Jiko linatumia mkaa kidogo kwani hitasaidia kutunza mazingira kwa kuto kata miti ovyo. Na pia lina  (air pollution  control) kwani moshi ukitoka unakuwa safi bila kuharibu mazingira.  Viwango vya uchomaji nyama vinavyo hitajika kwa nyama zote ni kuanzia 150 F to 175 F (70-75 C ) na nyama haitakiwa kuiva chini ya viwango hivyo kwa afya ya mlaji. Na pia nyama utakiwi kuigeuza geuza. Dr, Temba amekula nondo ya Ph.D. ya Applied Management Desion Science and  Information Techology- Dissertation:
Follow the link: http://search.proquest.com//docview/1353187659
Dr, Temba akijiachia na wajukuu waliofika kumpa shavu kwenye graduation party hiyo, Vijimambo team ilionyesha graduation party hiyo live bila chenga kutoka kenye back yard ya Dr. Temba Brooklyn, NY.


3 comments:

Anonymous said...

NATAKA KULIZA HII PARTY ILIKUWA KWA WATANZANIA WOTE AU WATU WANAJUANA JUANA NDO UNAKWENDA NIJIBUNI JAMANI KWA SABABU WENGINEWE TUNASOMA MTANDAONI TU WAKATI MAMBO YAMESHATENDEKA NA TUNAZIONA SURA AMBAZO NY HUWA HAZIKOSI KUWEPO KWENYE KILA SHUGHULI NA TUNAJIULIZA HAWA JAMAA WANAJUANA AU NDO KWA KADI TUNATAMANI NA SISI TUWEPO KWENYE SHUGHULI ZA KITANZANIA LAKINI HATUPATI MIALIKO HOW COME

Anonymous said...

JIPENDEKEZE MARA MOJA MOJA yaani namaanisha "ZAMIA"

Anonymous said...

unataka kuwepo kwenye shughuli za Watanzania lakini bado unajificha jina lako tuma anuani yako info@nytanzaniancommunity.org