ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 21, 2013

Picha 14 za nyumba anayojenga Diamond Platnums, geitini, madirisha, fensi, baraza na vingine


Ni mkali wa bongofleva ambae mpaka sasa ndio msanii wa kiume wa bongofleva alieongoza kwa kuandikwa sana kwenye magazeti pendwa na pia kwenye Internet kwa mwaka 2013.

Diamond Platnums ambae alikiri kupitia XXL ya Clouds FM June 2013 kwamba dili la Cocacola limemlipa zaidi ya MILIONI 100 za Kitanzania, ameshea na sisi pichaz za nyumba yake anayoijenga Mbezi Dar e salaam.balozi wa kinywaji cha Cocacola, ni staa ambae sauti yake imetumika kwenye kolabo iliyokaa kwenye nafasi ya kwanza ya Clouds FM Top20 kwa wiki 6 mfululizo….. ni mshkaji ambae video yake mpya inayofata ameifanya Afrika Kusini..

2 comments:

Anonymous said...

nyumba ni nzuri sana hongera diamond Mungu akulinde na akupe afya njema na azidi kubariki kazi ya jasho lako lakini hii nyumba inaoneka nzuri na kubwa lakini mpiga picha zijui amepiga kamera ya cm maana nilitegemea niiyone hii nyumba nzima sio picha za robo robo inaboa sana kwa aliyepiga hizi picha piga picha ya ukubwa wa nyumba nzima sio kuleta mambo ya roborob hapa hata hamuya kuangalia inaisha otherwise diamond naseeb unatisha sana(salama wa mikasi voice)

Anonymous said...

Ushamba mzigo jamani