ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 7, 2013

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAMJULIA HALI MHE. JOHN CHEYO ALIYELAZWA AGA KHAN

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo, aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu wa Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo. Picha Freddy Maro.

No comments: