ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 26, 2013

Re-Union ya Watanzania wa New Jersey

Watanzania wakazi wa New Jersey, USA
Mnakaribishwa wote kwenye Re-Union barbeque ya Watanzania wa New Jersey siku ya Jumamosi, Agosti 31, kuanzia saa nane mchana, katika viwanja vya Lincoln Park, West Side Avenue, Jersey City, New Jersey.

Tunatanguliza shukurani kwa kufika kwako.

No comments: