ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 10, 2013

SHEREHE ZA EID NEW YORK AUG 10, 2013


Kamati Maalum ya Maandalizi ya Sherehe ya Eid inawaalika wote ?kusherehekea kumalizika kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani (Eid El-Fitr) ?itakayofanyika katika viwanja vya makazi ya zamani ya Ubalozi.


30 Overhill Road,Mount
Vernon,New York.
August 10th, 2013,?Saturday 2pm

Watanzania wa dini zote mnaalikwa kuhudhuria sherehe hizi ili tuendeleze tamaduni zetu za ushirikiano.Maandalizi yamekamilika na waalikwa hawahitajika kuleta chochote katika sherehe hii.

Kwa maelekezo zaidi wasiliana na Mwenyekiti kamati ya maandalizi Maalim Seif....614 772 2649

Wajumbe:

Shabani Mseba                    347 712 8539
 Tahir Bilal                             917 335 5132

Mubarak Mandia                   347 245 8795

Ally Abubakar                        713 504 2410

 Hamza Mandia                     347 314 4255
Asya Mwilima                        718 288 8895
Ahsante na
Karibuni. Eid Mubarak!

9 comments:

Anonymous said...

Hongerini Sana Wazee Wa New York CIty! Naona Vijana Wamepewa Shavu

Anonymous said...

Safi Sana wazee wa NY City! Wazee mumejizatiti this time... Naona vijana nao mumewapa shavu. BAAAABKUBWAAA!

Anonymous said...

Safi Sana wazee wa NY City! Wazee mumejizatiti this time... Naona vijana nao mumewapa shavu. BAAAABKUBWAAA!

Anonymous said...

ustadha hajj hayupo this time imekuwaje tena. na hii sherehe si kwa ajili ya waislamu sana inakuwaje wanaalikwa wasio funga na kusherehekea mnajua dini nyinyi kweli ndo maana ustaadh kajitoa wamebaki ma dj

Anonymous said...

hii ya kualikwa wasio funga haja kaa fresh hata kidogo kwani wao wanatualika za kwao

Anonymous said...

ustadh hajj mbona hayumo this time

Anonymous said...

kazi ipo kweli siku hizi kazi kweli kweli shukran mnajitahidi kama wa dc

Anonymous said...

wewe unaelalamika wamealikwa "WASIO FUNGA" (WAKRISTO) ukome kabsaaa kutuingilia na NEW YORK CITY yetu! Hatunaga UDINI WALA UKABILA japo "majungu" ya kichinichini yapo

Anonymous said...

Tena ukome kabisaaaaaaaa! Usituletee mambo ya ubaguzi mchana mchana. Ukitoa udini kwani wote si binadamu? We ni mchochezi na moto wa kuotea mbali! New york oyeeee! Oyeee! Umoja oyeeee! Ubaguzi wa dini ushindwe kwenye jumuia yetu!