ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 28, 2013

TANGAZO LA UCHAGUZI WA JUMUIYA, JUMAMOSI SEPTEMBA 14, 2013


Kwa niaba ya Kamati huru ya Uchaguzi, tunapenda kutangaza rasmi Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ni Jumamosi Septemba 14, 2013. Tarehe ya mwisho ya kurudisha fomu ni Saa 9 Alasiri (3pm) Ijumaa Septemba 13, 2013.

Nafasi za Uongozi
  • Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti
  • Katibu na Katibu Msaidizi
  • Mweka Hazina na Mweka Hazina Msaidizi
Sifa za Mgombea;
1. Awe na Elimu isiyo ya chini ya kidato cha nne
2. Awe Mwanachama Hai asiyedaiwa michango.
3. Ailewe katiba ya NYTC na awe tayari kuitumikia Jumuiya kwa moyo wake wote.
4. Awe Mwaminifu, Mkweli na Mpenda Umoja.
 
Fomu bofya hapo juu

Kama unaswali lolote wasiliana na Kamati ya Uchaguzi;

1. Mwenyekiti-Mchungaji Mama Butiku 516 314 9803
2. Katibu - Hamza Mandia  347 314 4255
3. Prof. Lwiza- Mjumbe 631 278-3859
4.Jesse chiume ( Da mgeni)- Mjumbe 917 254-3343
5. Kahwili Mujunangoma Mjumbe 914 654 1913

Mahali: 30 Overhill Road, Mt. Vernon, NY




Tujitokeze kugombea nafasi za Uongozi ili tuendelee kujenga Jumuiya imara.
          Ahsanteni sana

                                     Hamza Mandia
                                     Katibu wa kamati.
Kwa kujaza form ya uchaguzi bofya soma zaidi


New York Tanzanian Community
Application form for member of Executive committee
Instructions
Please read the articles of the New York Tanzanian Community Constitution which can be found at www.nytanzaniancommunity.org  Fill in as much information as possible and send a completed form to New York Tanzanian Community, c/o Tanzania Mission to the UN, 201 East 42nd. Suite # 425, New York, NY 10017 or fax it to 212-682-5232 by 3 pm on 09/13/2013. The election will be held on 09/14/2013 2pm at 30 Overhill road, Mount Vernon, NY 10552.
2:00PM at Overhill road, Mount vernon, NY10552.
ApplicantInformation
Full Name

Mailing Address



Phone Number
Home

E-mail


Cell



Position Applied for:
ChairpersonExecutive SecretaryTreasurer
Gender
MaleFemale

Employment
Are you Employed?
YesNo

Education
High School:

College(s):

Other

References
(1) Full Name

Address

Telephone

(2)Full Name

Address

Telephone

Description
Explain why you are applying for this position












Disclaimer and Signature
I Certify that my answers are true and complete to the best of my knowledge.
I agree to abide with the articles of the New York Tanzanian Community constitution.

No comments: