ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 21, 2013

TIGO YAENDELEA KUKABIDHI BAJAJ KWA WASHINDI WA MILIKI BIASHARA YAKO

Mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Furaha Kitigi akishuka kutoka kukagua Bajaji aliyokabidhiwa na Meneja Usambazaji wa Bidhaa kutoka Tigo Bw. Suleiman Bushangama (kulia) katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.
Mshindi wa droo ya tano wa promosheni yaTigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Furaha Kitigi akipungia kutoka kwenye Bajaji yake mpya kabisa mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Usambazaji wa Bidhaa kutoka Tigo Bw. Suleiman Bushangama (kulia) katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.
Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bi. Happiness Simon katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.
Mshindi wa droo ya tano wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bi. Happiness Simon akionyeshea ufunguo wake wa Bajaji mpya yenye thamani ya Tsh 6,700,000 aliyokabidhiwa katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam. Akishuhudia ni Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif

1 comment:

Anonymous said...

Ume-notice magina ya washindi wote hawa wawili ni HAPPINESS and FURAHA...Jifunzenu, msiwaite wanenu Majina yanayoashiria Ugumu na Matatizo ya maisha yako...LOL!