ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 18, 2013

TOP GOSPEL SINGERS UPENDO AND CHRISTINA PERFORM LIVE IN WINSTON-SALEM NORTH CAROLINA

Mwimbaji wa nyimbo za injili Christina Shusho akiimba moja ya nyimbo zake siku ya Ijumaa Aug 16, 2013 Winston Salem, North Carolina nchini Marekani.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania Upendo Kilahiro ambaye kwa sasa yeye na Christina Shusho wapo nchini Marekani, akiimba moja ya nyimbo zake Ijumaa Aug 16, 2013 mji wa Winston-Salem, North Carolina.
Juu na chini ni  Mtumishi wa Mungu Lucas Mmanywa akitoa neno la Mungu.
Juu na chini ni Waumini wakifuatilia neno la Mungu 
Chakula kikiendelea.

Christina Shusho na Upendo Kilahiro katika picha ya pamoja na shabiki wao ambaye ni Dj Maarufu North Carolina
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: