ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 25, 2013

TUME YA MABADIRIKO KATIBA: URAIA PACHA NA DIASPORA KUPATA HAKI YA KUPIGA KURA - Sign the Petition!

Watanzania wenzangu wa ughaibuni inasikitisha kuona tuishio ughaibuni ni watu kama 70 wa ughaibuni ndio wametoa maoni kwenye tume ya rasimu ya katiba, inaaminika Watanzania walio nje ya nchi ni karibu milioni 2 kuna vitu muhimu kama vile uraia pacha na haki ya kupiga kura for diaspora sasa hata kama mimi nipo kwenye tume naona kati ya Diapora milioni 2, wanaotaka mabadiliko ni 70 jamani ni kweli nitachukua hayo kama maoni ya wote?
Kwa hiyo ndugu zangu wa Ughaibuni mwisho wa maoni ni Aug 30, 2013 kutoa maoni tafadhali ingia kwenye link hiyo hapo chini na utoe maoni yako hata kama na maswala zaidi ya Raia pacha na haki ya kupiga kura kwa Watanzania walio nje tafadhali tunaomba utoe maoni yako
Please join this campaign: http://chn.ge/16ygW07


8 comments:

Anonymous said...

Nataka kusign na kutoa maoni ila siwezi sababu unaomba address mpaka zip code ya watu. Why? Una agenda gani sijaelewa. Nimesha sign vitu vingi ila sijawahi kuombwa mpaka address yangu. Ndio maana watu hawataki kufanya. CHANGE IT OR ELSE BAKI NA HIZO SIGN 70.

Anonymous said...

Nani amekuweka wewe kwenye hiyo tume? Mbona munajipya vyeo.. Who are you. Maoni situnatoa website iko kwenye tovuti ya baraza la katiba. Tulishafanya mbona. So again who are you? Au ndio unataka ubunge wa chadema kwa kutumia njia hii.

Anonymous said...

MAONI YA NINI WAKATI CCM WAMESHAANDIKA KATIBA WAITAKAYO KWA MANUFAA YAO..TUNASUBIRI KUCHINJANA TU!! CCM HAING'OKI BILA YA DAMU YA WATANZANIA KUMWAGIKA...ASIYEONA HILI LEO HANA MACHO WALA MASIKIO...RAIS ATABAKI NA NGUVU NA MAMLAKA ALIYONAYO LEO...MUUNGANO NI HUU HUU HAKUNA JIPYA.....NI WAPI AFRIKA WALIANDIKA KATIBA MPYA BILA YA DAMU KUMWAGIKA? ACHENI UNAFIKI NA KUPOTEZA FEDHA ZA MASIKINI...HAKUNA KATIBA MPYA YENYE UTAWALA WA KISHERIA CHINI YA CCM..TUITOE CCM KWANZA HALAFU NDIYO KATIBA MPYA...

Anonymous said...

Mpwa please post this.
Swala la urai wa nchimbi sio swala la chama Fulani cha kisiasa. Ni swala la Watanzaia wote. wapo wanao lipinga na wana-oliunga mkono regardless of their vyama vya kisiasa. Nisilo lipenda ni kwa wanasiasa wanafki kuliushisha swala hili ni chama Fulani cha kisiasa na kuwatisha wananchi. Ukitizama nchi zilizo ruhusu uraia wa nchi mbili,mfano Kenya,uganda,Burundi South Africa & etc.Nchi hizo Hazijawahi kuingia kwenye matatizo ya kisiasa/kiusalama eti kwa sababu zina toa duo-citizenship. Hapa bongo watakao faidika na duo citizenship wengi wao ni watazania wenzetu and most of them have clean money sio hizo pesa za kifisadi za wanasiasa hapa bongo.
Enzi za Baba Wataifa "MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE", TZ haikuitaji kuwa na duo-citizenship kwa sababu tulikuwa na wa TZ wacheche sana walio uhitaji. Tutakuwa wanafki tukisema bado hatu-huitaji wakati kuna zaidi ya wabongo 2million wanaoishi abroad .

Anonymous said...

Onyesha zip code za wote waliotoa maoni.

Anonymous said...

Onyesha zip code za wote waliotoa maoni yao.

Anonymous said...

I am not interested in this crap, If I wanted to remain as a Tanzanian ningebaki Bongo. Upuuzi mtupu, wanaotaka uraia waliouacha, kwa nini msirude Bongo kama kweli nyinyi ni nationalists.

I left because nchi imeoza, inaliwa na wachache, I now have a good job o/s, am loving it daily.

Good luck na hayo makatiba etc etc

Anonymous said...

If I wanted to remain as a Tanzanian ningebaki Bongo. Upuuzi mtupu, wanaotaka uraia waliouacha, kwa nini msirude Bongo kama kweli nyinyi ni nationalists.

I left because nchi imeoza, inaliwa na wachache, I now have a good job o/s, am loving it daily.

Good luck na hayo makatiba etc etc