Naibu Meya wa Jiji la Xiamen nchini China Mr. Kang Tao akibadilishana mawazo na Balozi mdogo wa China Madam Chen Qiman mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Zanzibar kwa ziara ya siku mbili kuja kuangalia fursa za uwekezaji na kubadilishana mawazo na Wafanyabishara wa Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyabiashara wa China waliofuatana na Naibu Meya wa Jiji la Xiamen nchini China Mr. Kang Tao wakiwa wamepumzika kidogo mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa kimatifa wa Zanzibar kwa ziara ya siku mbili kuangalia fursa za uwekezaji na kubadilishana mawazo na Wafanyabishara wa Zanzibar.
Balozi mdogo wa China Madam Chen Qiman akiagana na Msafara wa na Naibu Meya wa Jimbo la Xiamen China Mr. Kang Tao walipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zanzibar kwa ziara ya siku mbili kuja kuangalia fursa za uwekezaji na kubadilishana mawazo na Wafanyabishara wa Zanzibar.
(Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo, Zanzibar)
No comments:
Post a Comment