Sinema ya kwanza yenye ubora katika tasnia ya filamu za Bongo ambayo sehemu kubwa ya simema hiyo imechezewa Tanzania kwa kuwashirikisha wasanii wa Marekani na baadhi ya wasanii wa Filamu wa Bongo inayoenda na jina la GOING BONGO. Ndani ya filamu hii mchezaji wa sinema toka Marekani, Ernest Napoleon anayecheza kama Dr. Lewis Burger Dokta anayekuja Dar es Salaam kama Daktari wa kujitolea kwa kazi ya mwezi mmoja. Wacheza sinema wa Bongo walioshiriki picha hii ni Ahmed Olutu ‘Mzee Chilo’ , McDonald Haule, Sauda Simba Kilumanga, Amby Lusekelo na Evans Bukuku na sinema hii Inatajiwa kutoka Mwezi wa December 2013. Juu ni Trailer ya Movie hiyo.
1 comment:
Must See This
Post a Comment