ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 5, 2013

VURUGU BUNGENI LEO

Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe ametolewa nje ya Bunge, baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo. Mh ngudai aliamuru askari wa Bunge kumtoa nje, hata hivyo baadaye wabunge karibu wote wa upinzani walitoka pia isipokuwa Mh. Augustin Mrema wa TLP. Upinzani Bungeni unadai muswada wa katiba 2013 unamapungufu.
Picha ikionyesha Mhe.Joseph Mbilinyi akitolewa nje ya Binge angalia Video upate picha kamili

7 comments:

Anonymous said...

Aibu ya nini? Mbona hakuna video wala maelexo?.

Anonymous said...

Safi sana Sugu yupo juu kalipiza vitasa weraaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Naibu nadhani anatumia madaraka vibaya mno.. si sawa kutoheshimu upinzani.. atapewa cheo zaidi au atafukuzwa kazi??

Anonymous said...

Kwamtaji huu wabunge woote na maspika wao wanahitaji training juu ya kudeal na kuhandle emotions . Ilikuondoa hiidhana ya kuchukulia vitu Personal.wamejisahau kabisa kuwa wanawawakilisha wananchi wapigakura wao. Du. Kazi kwelikweli.....

Anonymous said...

Naibu spika hafai kuendesha bunge letu, hana busara na ni ndiye mchochezi wa fujo. Kwa nini hamna democracy ya kweli, wana CCM mbona hamuoni makosa kwenu?

Anonymous said...

shame on you waheshimiwa wabunge, hatukuwachagua muende kupigana ngumi bungeni kama kazi imewashinda si mseme au mjiuzulu, mrudi kuimba mashairi mitaani na kuuza pombe mabaa!!!!

Anonymous said...

Hata baada ya kuona video hii vichwa vya wengi bado havioni nani mkosaji! Kwa nini Mbowe anadhani ana haki ya kuongea kabla ya Mrema? Spika amefanya sawa kabisa ameombwa mara 2 akae na amekaidi. Watu mjifunze kujadili mambo kwa upeo na ukweli na si kuvutia upande wa chama unachokitaka. Maana what if Mrema angemnyamazisha Mbowe na zikazuka ngumi? Mngemlaumu naibu spika? au wapinzani wawili?? LET US BE WISE ON THIS SENSITIVE ISSUE. MBOWE NEED TO APOLOGIZE FOR CREATING FUJO ZISIZO NA MSINGI!