Hii ndiyo inaitwa Organic yani bila chenga tujivunie uhasilia wetu kwa kuenzi mila na desturi bila kuiga mambo ya ya kikoloni. Kwani mwisho wa siku bado tutakumbuka space yetu na space yako ni pale ulivyozaliwa na kulia sauti ya kwanza ukiwa unazaliwa that is your space a does matter what.....home sweet ......home.....utakumiss tu. This is my Opinion don't take personal.
No comments:
Post a Comment