ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 5, 2013

HAPA NA PALE YA VIJIMAMBO JUU YA UKUTA WA BERLIN ULIOTENGANISHA WEST NA EAST

Ukipitia maelezo haya unaweza kupata taswira juu ya ukuta huo uliokuwa umejengwa kwa kutenganisha West Berlin na East Bernin uko Germany. Na unaweza kuona katika picha ukuta wa west ni clean na east umechorwa chorwa na kujaribu kubomoa. Watu walisikia uchungu sana na walijaribu kula jinsi hili kupenya na kuingia west ambako kulikuwa na maitaji yote muhimu kama kazi na huduma zote za kibunadamu.
U
Upande wawest kama unavyoona upo clean kwani watu waliokuwa wanaishi uku ndiyo walikuwa na nguvu na kuwa tenga wenzao wa east Berlin uko Germany kwa kujenga ukuta huu 
Upande wa East Berlin ukiwa umechorwa chorwa na wa kazi wa upandee huu  kama unavyo ona.
Sahiz kilicho bakia ni kumbu kumbu ya mateso hayo waliyo peana wakoloni hao na hama unaweza kuona upande wa West Berlin bila ukuta na zimebaki vyuma hivikama kumbu kumbu. Hiyo ni train ya abiria ikipita.
Watu wa East Berlin walijaribu kila jinsi lakini wapi ukuta ulikuwa imara na walishindwa kabisa kutoboa na hata kama wange toboa wange take risk kwa kuikuwa na walinzi na wakikukamata ni moja kwa moja jela au kuuawa.
Lakini kila kitu kina mwisho wake hii statue inanesha jinsi walivyo sameheana kwa kuombana msamaha na kupeana hug ya kumaliza tofauti zao za uwest na ueast na sasa mambo ni tambarale. I hope utakuwa umepata taswira ya mji wa Berlin Germany juu ya ukuta huo.
Familia ya Dr Temba wakiwa Berlin Germany
Dr Temba akiwa na familia yake uko Berlin
Baadhi ya sehemu ya ukuta huo ni vyuma vilivyo bakia kama kumbukumbu
Huu ni pande wa East Berlin
Huu ni huo ukuta kama unavyoona kwa juu kuliwa smooth na hata ukitaka kujaribu kushika ulikuwa unateleza bila mafanikio ya kutaka kurukia upande mwingine.
Upande wa East huo jamaa walio kuwa wanaishi upande huu walikuwa na machungu ya kuingia West Berlin 
Jamaa akiganga njaa kwa kujitafutia riziki kwa kucheza na wheel hiyo kama unavyoona
Upande wa West sasa mambo tambarale wa East wanakuja kuganga njaa kama kawaida umate mate unapatika bila kuruka ukuta au kupenya kwa shida.
Jamaa wa East anapiga day work yake kama kawa kwa kuuza sausage kama unavyoona na mteja wake hapo
Upepo unaharibu pozi la biashara yake 
Mwamvuri umekunyika kwa upepo na mvua iliyo kuwa ina nyesha wakati akifanya biashara yake
Mteja kaamua kumsahidi hili aweze kumuhudumia vizuri
Je Tanzania bara na Viziwani kujengwe ukuta kama huo siyo sawa acha tuendelee na muhungano wetu hili tukaendelee kula bata la maeneo ya forodhani tutaumisi urojo.......

No comments: