ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 21, 2013

MGONJWA NI WAKO UMETOA PESA ZA MATIBABU MWISHO WA MCHEZO UNAGUNDUA DAKTARI NI FAKE?

DAKTARI anayedaiwa kuwa bandia amekamatwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, akiwa na vitambulisho bandia vya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) akisomea Shahada ya Pili.

'Daktari' huyo ambaye amekuwa akitafutwa na uongozi wa chuo kwa zaidi ya mwaka alikamatwa jana asubuhi akiwa hospitalini hapo karibu na jengo .

No comments: