ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 30, 2013

MUONEKANO WA SEHEMU ZA JIJI LA DAR BAADA YA MVUA KUNYESHA LEO

Juu na chini ni mvua iliyonyesha jijini Dar leo na kuleta mafuriko aliyokuwa adha kwa wakazi wa Dar es Salaam
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 Maji yakiingia Dukani kwa Mtu hapo
Picha kwa hisani ya Lukaza Blog

2 comments:

Anonymous said...

Bongo tambaRARE! Yani kama ulaya vile!

Anonymous said...

Tuna wataalam wengi,kila mwaka wanagraduate,wapi engineers,city planners,waje improve drainage systems ? Sidhani kama nimeona zipo bali ni wakati muafaka kwa era ya leo ukizingatia tuna wizara ya mazingira