Andre akiwa na mzazi mwenzie akimsihi aondoe shauri hilo
Andre akiwa na mtoto wake nje ya mahakama

BULHYAHULU
Mzungu akitoka kusikiliza shauri lake chumba cha mahakama ambapo shauri hilo liliahirishwa mpaka tarehe 4.10.2013 ambapo alidhaminiwa na wadhamini wawili .
Raia wa nchini Canada ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya African Barrick Gold Bulyanhulu aliyefahamika kwa jina la Andrew Lapierre (50) amefikishwa mahakama ya mwanzo Lunguya wilayani kahama mkoani shinyanga kwa kosa la kutelekeza mtoto kinyume cha kifungu namba 166 cha sura ya 16 aliyezaa na Bi Elizabeth John.
Akisoma makosa ya mtuhumiwa, hakimu wa mahakama ya mwanzo Lunguya Derick Masaga ameiambia mahakama kuwa Andre Lapierre mwaka jana alimpa hujauzito Elizabeth John (21) mkazi wa Kakola ambaye alizaa mtoto wa kike aliyefahamika kwa jina la Mariam Andre, na kumtelekeza muda wote bila huduma.
Mtuhumiwa alikana kumtelekeza mtoto huyo na kuiomba mahakama hiyo iagize wakapimwe vipimo vya vinasaba (DNA) ili kubaini ukweli na vipimo vimethibitisha hilo.
2 comments:
Pumbavu kabisa. Yaani anataka DNA uliona wapi mwafrika akamsingizia mzungu. Jinga kabisa litieni mbaroni to hilo lione jasho la Shinyanga kidogo. Tunza motto wako weye, hamna haja ya kupima wala nini. Ulikuwa unaonja vya waafrika ukifikiri huyo msichana bwege. Sasa child support hizo dola. Na motto akikua usimdai pumbavu weye!!!!
Anahaki ya kudai kupima vinasaba, na actually kwanini mtu awe na wasiwasi kupima vinasaba iwapo ana uhakika na anachokidai??? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. na pia huwezi kujua may be akisha kuwa confident kuwa ni mtoto wake there is a bright future for the girl, who knows??????
Jee mchangiaji una uhakika gani kuwa huyo mtoto si wa mzungu mwingine na ndio maana jamaa anataka ajihakikishie????
Post a Comment