ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 23, 2013

PICHA ZILIZOTAMBA KWENYE SHOW YA OMMY DIMPOZ POZ KWA POZ WEEKEND MARYLAND

Ommy Dimpoz akifanya vitu vyake pembeni ni shabiki wa music wake na kulia kwake ni mlizi akiwa makini kuakikisha usalama.
Aj Ubao the love Doctor akifanya vitu vyake kabla ya Ommy Dimpoz kupanda stejini.
Poz kwenye ukodak wa vijimambo ndiyo mpango mzima.
Shabiki wa Dimpoz akipoz mbele ya ukodak wa vijimambo ukumbuni hapo
Kaiza akiwa rafiki yake wakipata ukodak
Kila mtu na wake ukumbuni hapo
Mrembo wa kikenya 
Boss Lady Omby na Melissa wakipozi kwenye ukodaki wa vijimambo na siku hii Melissa ilikuwa birthday yake.
Boss Lady na Melissa wakishow love kwenye show ya Dimpoz, kwa picha zaidi........

No comments: