ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 21, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO NYUMBANI KWA BRIGADIER MAGANGA

Brigadier Maganga akiongea machache katika BBQ iliyofanyika nyumbani kwake na kuwakaribisha wana jumuiya wa DC kama shukrani kwao kwa kukaa nao vizuri kipindi chote alicho kuwa anaitumia Balozi ya Tanzania nchini Marekani kama mwambata wa kijeshi. Na pia alitumia fursa hiyo kumtambulisha mwambata mpya. Baada ya yeye kumaliza muda wake.
Mh. Mwafongo akiongea kwenye machache kwenye BBQ hiyo
Colonel Adolph P. Mutta , DEF. MIL. NAV. & AIR ATTACHE ALSO ACCREDITED TO CANADA Ndiyo anachukua nafasi ya Brigadier Maganga. Kiongea na wana jumuiya waliojitokeza nyumbani kwa Brigadier Maganga. Pia alitumia nafasi hiyo kutambulisha familia yake kwa wana jumuiya.
Rais wa DMV akiongea machache
Mama mwenye nyumba wa Mwambata mpya katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na chini ni watoto wake.
Watoto wa Brigadier Maganga na mama mwenye nyumba wake wakipata ukodak.

No comments: