ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 21, 2013

Rais Kikwete awasili New York

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania katika umoja wa Mataifa New York nchini Marekani wakati alipowasili New York Marekani akitokea Toronto Canada.(picha na Freddy Maro)

No comments: