ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 21, 2013

CHAMA CHA NGUMI MKOA WA DAR ES SALAAM 'DABA' WAPATA VIONGOZI WAO

Baadhi ya viongozi waliochaguluwa kuendesha chama cha mchezo wa masumbwi Mkoa wa Dar es salaam DABA wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa uchaguzi huo Zuwena Kipingu katikati pamoja na mwangalizi mkuu wa uchaguzi Remmy Ngabo kulia Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

Mwenyekiti wa Mkutano wa Uchaguzi wa viongozi wa mchezo wa Masumbwi Mkoa wa Dar es salaam Zuwena Kibena katikati akizungumza baada ya kumalizika uchaguzi huo na kupatikana viongozi wake.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Baadhi ya wajumbe kutoka klabu ya Ashanti ya Ilala wakifatilia uchaguzi huo kutoka kushoto ni Emanuel Mgaya, Hamisi Manyota na Juma Mwalimu wakifatilia uchaguzi mkuu wa chama cha mchezo wa ngumi mkoa wa Dar es salaam 'DABA' ULIOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI KATIKA UKUMBI WA ddc mLIMANI


BONIA KALAMA NYILAWILA AKIFATILIA UCHAGUZI HUO
Mweka hazina wa klabu ya Ashanti ya Ilala Emanuel Mgaya akitumbukiza kula yake
Mngombea wa nafasi ya makamu Mwenyekiti Timithi Kingu akijinadi wakati wa kuomba kula
Baadhi ya viongozi wakipiga kula za kuchagua viongozi watakaokiongoza chama cha mchezo wa ngumi Mkoa wa ar es salaam DABA
MMOJA YA MJUMBE ALIYEOMBA NAFASI YA KATIBU MKUU WAMBOI MANGORE AKIJINADI KWA WAPIGA KULA
MMOJA YA WAJUMBE JAFARI NDAME AKIOMBA KULA ZA KUWA MJUMBE WA KAMATI YA UHUSIANO HABARI NA MASOKO
Juma Uwesu akiomba kuchaguliwa kwa wapiga kula ujumbe wa maendeleo ya vijana
Arnord Ngumbi akiomba nafasi ya ujumbe wa vilabu,wilaya na taasisi za umma
Mazimbo Ali akiomba kuwa mjumbe ili awaletee maendereo ya mchezo wa masumbwi kwa upande wa wanawake wanaojiunga na mchezo huo kuhakikisha wanashiriki kama wengine

No comments: