ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 21, 2013

Siku ya semina na tamasha ya Upendo Nkone katika kanisa la Bethel Kingdom

Upendo Nkone akiimba na kumchezea Mungu katika kanisa la Bethel Kingdom
Mchungaji Mchungaji Donis Nkone na mke wake toka Ohio wakisisitiza kumtumikia Mungu kwa uaminifu katika kanisa la Bethel Kingdom 
Mchungaji Donis Nkone na Askofu Melchizedek Danford Maturlu
Waumini wa kanisa la Bethel Kingdom wakimsikiliza pastor Donis Nkone

No comments: