ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 22, 2013

TANZANIA DMV KUKIPIGA NA GUINEA LEO JUMAPILI SAA 1:30 USIKU HYATTSVILLE

Timu ya Tanzania DMV
Timu ya Ginea

Timu ya Tanzania Jumapili Sept 22, 2013 itajitupa uwanjani kwenye mechi ya kirafiki ya kimataifa itakayochezwa saa 1:30 usiku kwenye uwanja wa Heurich Turf Field uliopo 6001 Ager Rd, Hyattsville, MD 20782.

Mechi ya mwisho iliyochezwa Jumapili Sept 8, 2013 Timu ya Tanzania DMV waliibanjua timu ya Senegal kwa bao 5-3 katika mchezo mwingine wa kirafiki wa kimataifa uliochezewa Walker Mills Turf Field, Capitol Heights.

No comments: