ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 22, 2013

TUPOGO NDANI YA MARYLAND ILIVYOWAKILISHWA NA OMMY DIMPOZ KWA POZI

Ommy Dimpoz akiwajibika stagen licha ya mvua kunyesha lakini watu hawakukosa kujaaaa...yaani ilikuwa mtu nyomi
Wapenzi wa Dimpoz wakipagawa na tupogo nyimbo mpya ya Dimpoz
Shabiki wa Dimpoz akiwa ameshajikabizisha kwenye stage akishow love kwa Dimpoz
Ukodak wa vijimambo wapenzi wa Dimpos
DMK ndiyo aliyeifanikisha safari ya Dimpos akipata ukodak
Mambo ya Tupogo yaliyo jili ndani ya Maryland, Kwa picha zaidi nenda




No comments: