
Hayawi Hayawi Yamekuwa...CCM OYEEE...Napenda kutumia nafasi hii Kuwakaribisha Watanzania wote waliopo Chicago and its Vacinity kwenye ufunguzi wa Tawi la CCM CHICAGO & midwest Jumamosi Sept 21st 2013 @The Crave Kuanzia saa kumi na mbili jioni...Njoo Umsikilize Naibu Katibu wa CCM Mh Mwigilu Nchemba.....Kidumu Chama Cha Mapinduzi...Karibuni wote!!
NAIBU KATIBU MKUU BARA MHE. MWIGULU NCHEMBA AMESHAWASILI JIJINI CHICAGO TAYARI KWA UZINDUZI WA TAWI. WATANZANIA WOTE BILA YA KUJALI ITIKADI WOTE MNAALIKWA KWENYE SHEREHE HIZO JUMAMOSI HII SEPT. 21. MKUTANO UTAFANYIKA @ THE CRAVE 1204 N RAND ROAD IN ARLIGHTON HEIGHT, IL---UMOJA NI USHINDI!..

3 comments:
Gamba
Kweli watu mnamuda wakupoteza si mchezo.
Namba ya simu plizi
Post a Comment