ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 4, 2013

VIJANA WAITIKA MWITIKO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI- EAC

 Judith Jubilant akimpaka rangi ya Bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ndugu Raymond Maro wakati wa kufurahi mdahalo wa vijana juu ya ushikishwaji wa vijana ndani ya jumuiya hiyo
 Raymond Maro akiwa pamoja na vijana wakiwakilisha nchi zao kwa michoro ya bendera 
 Judith Jubilant mchoraji toka GIZ akiwa makini akipaka rangi vijana kuwakilisha bendera zao na bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. 
 Balozi wa Vijana toka katika Jumuiya ya Afrika Mashariki wa  Tanzania na Kenya Raymond Maro na Milly Mbedi wanaomaliza muda wao wakiwa pamoja na waandaji wa Mdahalo wa pili wa Vijana juu ya ushirikishwaji wa vijana katika kuboresha jumuiya ya Afrika Mashariki
Balozi wa Vijana katika jumuiya ya Afrika Mashariki kwa upande wa Tanzania anayemaliza muda wake Raymond Maro akiwa na vijana wa jumuiya hiyo; Kutoka kushoto ni  Janeth Nagai toka Tanzania, Amina Ahmed toka Kenya na Diane Kaiteta toka Rwanda baada ya kuchangia mada vema wakati wa mdahalo uliofanyika jijini Dar es Salaam 

1 comment:

Anonymous said...

Napenda kufanya marekebisho. Jina langu ni Janeth Nagai kutoka Tanzania. Asante