ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 21, 2013

WEMA SEPETU KUANZA KUONEKANA "EAST AFRIKA TV" KATIKA KIPINDI CHAKE CHA "IN MY SHOES" KITAKACHO ZUNGUMZIA MAISHA YAKE

.
Kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV na EA radio umetoa habari njema kwa mashabiki wa filamu nchini baada ya muigizaji maarufu wa Bongo Movie maarufu kama Wema Sepetu kuanza kuweka wazi maisha yake katika kipindi chake cha "IN MY SHOES".- See more at:

No comments: