
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akilalamika baada ya kuchezewa faulo na beki wa Yanga SC, David Luhende katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 3-2.

Kevin Yondan aliokoa kwa kichwa mpira wa Brian Umony ukamkuta John Bocco akaukwamisha nyavuni kuipatia Azam bao la kwanza

Farid Mussa wa Azam akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Yanga SC, Mbuyu Twite

Farid Mussa akimiliki mpira kushoto pembe ya Mbuyu Twite

John Bocco akitafuta mbinu za kumtoka Mbuyu Twite

Joackins Atudo wa Azam kulia akiwania mpira dhidi ya winga wa Yanga SC, Simon Msuva kushoto

Waziri Salum akimtoka Simon Msuva

Simon Msuva akimtoka Waziri Salum

Athumani Iddi 'Chuji' wa Yanga SC akimtoka Farid Mussa wa Azam

Azam wakishangilia bao la pili lililofungwa na Kipre Tchetche

Brian Umony akifurahia pasi yake kuzaa bao, huku kipa wa Yanga SC, Ally Mustafa 'Barthez' wakiwa wamekaa nyavuni

Yanga wakishangilia bao la pili

Hamisi Kiiza akimtoka Said Mourad

Didier Kavumbangu wa Yanga akiwanai mpira wa juu

Mwandishi wa gazeti la Mwanaspoti, Dorris Maliyaga akiwa kazini Uwanja wa Taifa leo. Hapa ni baada ya Azam kupata bao la tatu

Haruna Niyonzima akimtoka Brian Umony

Farid Mussa leo alimtesa sana Mbuyu Twite

Kevin Yondan akiambaa na mpia baada ya kuokoa

Didier Kavumbangu akimiliki mpira ya kipre Balou

Humphrey Mieno akizuia mpira uliopigwa na Nadir Haroub 'Cannavaro'

Himid Mao akiwatoka viungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' na Frank Domayo

Tutafukuzwa, au? Benchi la Ufundi la Yanga kutoka kula Kocha Mkuu Mholanzi Ernie Brandts, Msaidizi wake, Freddy Felix Minziro, kocha wa makipa Mkenya, Razack Ssiwa na Daktari, Nassor Matuzya.

Kikosi cha Yanga SC leo

Kikosi cha Azam FC leo
kwahisani ya bin zubery
No comments:
Post a Comment