wa kwanza nilivyomfuata na kumuomba kushoot video na mimi akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia na kukubali kushoot video na mimi na hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah!
Siku zote huwa nakushukuru na kukuombea sana kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa...
MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009 BestRnBSongof TheYear2009

No comments:
Post a Comment