
Striker wa Chelsea Samuel Eto’o ameonyesha jinsi gani anavyopenda magari ya kifahari kwa kutumia mishahara yake katika manunuzi ya magari ya kifahari, mchezaji huyo wa zamani wa club ya Urusi Anzhi, alishusha vyombo (magari) vyake jijini london baada ya kutua katika club ya Chelsea. Mkameruni huyo magari anayomiliki ni Bugatti Veyron yenye thamani ya £1.55m, Maybach Xenatec yenye thamani ya £750,000, Aston Martin One-77 yenye thamani yenye thamani ya £1.25m na Aston Martin V12Tazama sample ya magari hayo ya kifahari yanayomilikiwa na Samuel Eto’o yaliyo mgarimu £4 million hapa …
Maybach xenatec
Aston Martin V12 Zagato
Aston Martin One-77
Bugatti Veyron
Maybach xenatec
Aston Martin V12 Zagato
Aston Martin One-77
Bugatti Veyron
4 comments:
kazi tunafanya kubwa na nzuri, lakini akili ndogooo!!!waafrika. yeah! typical African kesho akiacha soka amefilisika. bima tu ya magari hayo basi angeweza kuwasaidia huko kwao mabomba ya maji ili waachane na kuokota maji machafu
Siyo mjinga huyo ...lambda kwa sababu huna...unajuaje kama hasaidii kwao?hayo magari nikepusha tax ya Pesa kuwepo bank...badala yake ile unanunua vitu vya kutumia..hiyo ni mbinu.
Wakati mzungu Thomas Vermallien ana miliki kaji Nissan....
Akirudi huko kijijini kwao sijui ataziendesha kwenye barabara gani?
Kila mtu ana dream yake katika maisha yake ambayo angependa itimilike. Sio kila dream ya kila mtu inatimilika. Kama Atoo dream yake ilikuwa ni kuwa na magari ya kifahari, hiyo itakuwa imetimilika. Hilo noi jasho lake na ana uhuru wa kulitumia atakavyo maana wengine hatujui amepitia wapi kufika hapo alipo. Tumpongeze kwa mafanikio aliyo nayo.
Post a Comment