ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 6, 2013

FAY DESTINY AZINDUA CD YAKE KWA KISHINDO DMV.

Fay Destiny akijiandaa kbla ya ufunguzi wa albam yake katika hoteli ya Hampton Inn College Park jijini Maryland Jumamosi Oktoba 5, 2013 na Jumapili ataendelea na sehemu ya pili ya ufunguzi huo ,vyakula na vinywaji vitatolewa kwa wote bila malipo mnakaribishwa kuanzia saa saba mchana. Fay na mwimbaji mwenzake Malaika Ngosso. Fay akipoz na Anti Grace Mgaza Sebo. Fay akiimba wimbo wake huku akipewa tafu na mchungaji Ensy Mwalukasa. Pastor Ngosso katika Organ. Fay akiimba kwa upako mkubwa akipewa tafu na Malaika Ngosso n mwanae. Fay akiupagawisha umati wa waumini. Mwimbji wa Injili Johnson Mnzava naye alikuwapo. Mwenyekiti wa CCM -DMV uncle George Sebo ndani ya nyumba. Mwenhyekiti wa Jumuiya ya watanzania DMV Bw.Iddy Sandali naye alikuwapo. 
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mama Mukami akifuatilia ibada kwa makini. Dada Mary Mgawe na mwanae akipata upako. Mchungaji Igogo akitoa neno.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

No comments: