Bwana Cassius Pambamaji wa Houston TX.
Na C.E.O wa Mlongokihoma. Blogspot. Unapongezwa na Vijimambo Team wewe pamoja na mke wako kwa kutuletea mdau mpya wa vijimambo Little Princess Mary-Lidya Pambamaji. Princess huyo aliezaliwa katika Methodist Willowbrook Hospital. Vijimambo team inawatakia afya njema mama na mtoto.

1 comment:
Hongera sana bwana Cassius,mungu awajalie afya njema mama na mtoto.
Post a Comment