Ndugu wa marehemu Frank Shoka aliyetuhumiwa kwa wizi wa kuku mwili wake ukisubiriwa kuja kuchukuliwa na polisi
Mwenyekiti wa kijiji cha Mjere, Mussa Tenson Mgula aliyesimama kushoto amesema alipata taarifa za tukio hilo kwa wananchi na alipofika alikuta mtuhumiwa ameshauawa hivyo alitoa taarifa kwa mtendaji wa kijiji hicho Evarist Benny ambaye alitoa taarifa kituo cha polisi Mbalizi majira ya saa mbili asubuhi ambapo Polisi walifika majira ya saa nane mchana na kuuchukua mwili wa marehemu.
1 comment:
Hii ni hatari yaani taarifa inatolewa polisi asubuhi saa mbili.Polisi wanafika saa nane mchana! huu ni uhuni kwa maana ya polisi haipo kabisa kitaalamu. ni aibu. lingelikuwa tukio la mapigano ingekuwaje?
Post a Comment