ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 8, 2013

JUMUIYA YA WATANZANIA WAKAZI WA ALABAMA WALIVYO KUTANA NA MH SLAA NA KUTETA MSTAKABARI WA NCHI YA TANZANIA

Mh. Slaa akiwa kwenye meza kuu pamoja na mchumba wake Bi. Josephine Mshumbuzi Wakijadili mambo ya maendeleo ya nchi ya Tanzania. 
Jumuiya ya watanzania Alabama wakiimba wiimbo ya Taifa.
Wote wakiwa wamesimama kuimba wimbo ta Taifa kabla ya mkutano kuanza
Vijana na walengwa wa mji wa Alabama wakipata ukodak moment na muheshimiwa Dr.Slaa.
Ukodak time na Mh Slaa

No comments: