ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 19, 2013

kuaga mwili wa Mzee Cryor Jumapili

Huduma ya kuaga mwili wa Mzee Cryor
Ndugu, jamaa na marafiki- Bwana Lavorn anapenda kuwataarifu juu ya huduma ya kumuaga marehemu baba yake Mzee Henry “Chico” Cryor (kushoto pichani), itakayofanyika Jumapili October 20, saa 9 jioni.  Huduma itafanyika Takoma Park Church, lililopo 
6951 Carroll Avenue, 
Takoma Park MD 20912.
Mazishi yatafanyika siku moja baadaye- October 21 saa 4 asubuhi katika makaburi ya Gate of Heaven yaliyopo 13801 Georgia Avenue, Silver Spring, MD, 20906. Wote mnakaribiswa kujumuika nasi. Pia, Lavorn anawashukuru sana kwa msaada wenu wa hali na mali katika kipindi hiki kigumu - Magoma.

No comments: