KAMATI YA MAZISHI INAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 26 OCTOBER 2013 KUANZIA SAA NANE MCHANA,KUTAKUWA NA HARAMBEE (FUNDRAISING) KWA AJILI YA KUCHANGIA FEDHA ZA KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU MARTHA SHANI NA FAMILIA YAKE KUELEKEA NYUMBANI TANZANIA.
HARAMBEE HIYO ITAFANYIKA
KEMP MILL ESTATE LOCAL PARK
120 CLAYBROOK DR
WHEATON.MD.20906
KUFIKA KWAKO NDIYO MAFANIKIO YAKUWEZESHA KUUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU KWENDA NYUMBANI TANZANIA KWA AJILI YA MAPUMZIKO YA MILELE.
No comments:
Post a Comment