Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznzania, akihutubia wakati akifungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwanasayansi wa masuala ya hali ya hewa, Dkt. Arame Tall, wakati akiondoka baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa ukumbini wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili wakati akiondoka Ukumbi wa AICC baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo

kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa ukumbini wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa ukumbini wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua mkutano huo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment