ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 25, 2013

MISA YA KUMUAGA MAREHEMU BI MARTHA SHANI KUFANYIKA JUMAPILI "27 OCTOBER" WASHINGTON (DMV)

MISA YA KUMUOMBEA NA KUMUAGA MAREHEMU ITAFANYIKA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 27 OCTOBER PALE GREENBELT CHURCH

ADDRESS NI
10110 GREENBELT ROAD
LANHAM.MD.20706

MISA ITAANZA SAA NANE MCHANA HADI SAA KUMI JIONI NA KUFUATIWA NA  CHAKULA CHA JIONI PAMOJA NA FAMILIA YA MAREHEMU.

No comments: