Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na
waandishi wa habari leo katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM-Lumumba Dar es Salaam. Alikuwa akitoa ufafanuzi kuhusu masuala yahusuyo
Mchakato wa Katiba mpya na kusema "tunaheshimu tume,tunaimani nayo na tunaahidi ushirikiano wa kutosha katika mchakato wa Katiba".

1 comment:
Nape ASANTE sana ila uelewe wazi kabisa wewe unachangia sana kuleta machafuko nchini tokana na usabiki wako wa katiba utafikiri ulikuwepo kwenye kukusanya maoni. Ulicho nacho hakitoshelezi tu, tuacheni tamaa jamani tuone waliowengi ni wepi. Mungu ilinde Tanzania.
Post a Comment