ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 3, 2013

OMMY DIMPOZ ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI NAKUZUNGUMZA NA MAMA BALOZI MULAMULA !

    picha juu na chini ni Mwanamuziki Ommy Dimpoz akitia Saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania Washington dc
Ommy Dimpoz akiwa na Mheshimiwa Balozi Mulamula na Promoter wake DMK ambaye pia ni Mkurugenzi wa MMK Media Group kampuni inayomiliki Swahili Radio online,Swahili Tv online,Swahilitv blog,na DMK411 blog
Mheshimiwa Balozi katika Poz na Poz kwa Poz 

Picha kwa hisani ya Swahili Tv Blog.

No comments: