ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 6, 2013

OMMY DIMPOZ POZI KWA POZI AKAMUA LA


Mwanamuziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz pozi kwa pozi akifanya makamuzi ndani ya Los Angeles, California usiku wa kuamkia leo. Ommy Dimpoz ambaye yupo ziara ya Marekani California ikiwa ni show yake ya tatu kabla ya hapo alifanya show DMV na H-Town (Houston), Texas.
Shabiki akienda pozi kwa pozi na Ommy Dimboz kwenye makamuzi yake aliyofanya Los Angeles, California usku  wa Jumamosi Oct 5, 2013.
Juu na chini ni mwanamuzi wa kizazi kipya Lady C kutoka Uganda akienda pozi kwa pozi na msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz wakati alipofanya show Los Angeles, California usiku wa kuamkia leo.
Shabiki haamini macho yake akipata picha na msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz alipofanya show yake ya tatu nchini Marekani iliyoifanya Los Angeles, California.

Shabiki namba moja wa Ommy Dimpoz akienda nae pozi kwa pozi siku ya Jumamosi Oct 5, 2013 ndani ya jiji la Los Angeles, California usiku wa kuamkia leo Ommy Dimpoz alipofanya show yake ya tatu kwenye ziara yake nchini Marekani.
Shabiki akienda Pozi kwa pozi  na msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz usiku wa kuamkia leo ndani ya jiji la Los Angeles, California.
Juu na chini ni Ommy Dimpoz akipagawisha mashabiki huku wakishindwa kujizuia na kujikuta wakimtunza  msani huyo wa pozi kwa pozi.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


Picha na Abdul Majid mwakilishi wa Vijimambo Blog Los Angeles, California.

No comments: